BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani wiki ijayo
Marekani na Iran zilikutana jana huko Oman kufuatia kuongezeka kwa mvutano kati ya nchi hizo, huku Trump akirudia kuonya kuhusu uwezekano wa shambulio la kijeshi.
Kisa cha Mbrazili 'feki' na kile kinachofichua kuhusu ujasusi wa Urusi
Polisi wa Brazil na Ofisi ya Upelelezi ya Shirikisho la Marekani (FBI) zote zimemtambua kama afisa wa ujasusi wa Urusi.
"Tulikua tunashiriki mapenzi hotelini bila kujua tulirekodiwa na kuonwa na maelfu"
Wapenzi walikua mapumziko katika hoteli moja na kuendelea na ngono bila kujua walikuwa wakirekodiwa na baadaye kuonyeshwa kwenye channeli inayotazwa na maelfu ya watu
Kijiji ambacho kuoana mkiwa dini tofauti ni kifo
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi.
Maisha ya wafugaji Kenya, Somalia yalivyo hatarini ukame ukizidi kusambaa
Ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika sasa umeenea hadi maeneo ambayo hapo awali hayakuwa yakikumbwa sana na majanga ya ukame.
Tetesi za Usajili Ulaya Jumamosi: Ronaldo kuuzwa kwa £43m
Ligi Kuu ya Saudi Arabia iko tayari kumuuza Cristiano Ronaldo kwa pauni milioni 43, Chelsea inawania saini ya Dusan Vlahovic ikipambana na Tottenham, huku Sergio Ramos akielekea Marseille.
Kwa nini mazungumzo ya Iran na Marekani ni nyeti
Haya ni mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja tangu kile kilichoitwa "vita vya siku 12," vilivyoibuka baada ya shambulio la Israel dhidi ya Iran na kuibua hofu ya vita vya kikanda.
Jinsi sakata ya Epstein inavyokuza propaganda za Urusi
Faili za Epstein ni uthibitisho wa masimulizi ya muda mrefu ya Kremlin kuhusu kuzorota kwa maadili ya Magharibi na unyanyasaji wa kijinsia wa dhidi ya watoto
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Juventus inamfukuzia Sandro Tonali Newcastle United
Kiungo wa kati wa Newcastle United Sandro Tonali analengwa na Juventus, Cristiano Ronaldo ana kipengele cha kuachiliwa katika mkataba wake na Al-Nassr na Napoli kuufanya mazungumzo ya kuongeza mkataba wa Scott McTominay.
Kwa nini bei Bitcoin imeporomoka tangu Trump aliporejea madarakani?
Thamani ya sarafu hiyo ilipanda kwa kiwango kikubwa huku bei yake ikiongezeka na kufikia takriban dola 122,200 Oktoba. lakini sasa bei yak e inashuka kwa kiwango cha kushangaza.
'Shujaa wa vita' wa Urusi aliyetoroka: 'Nilijipiga risasi na watu wangu ili tuondoke Ukraine'
Afisa mmoja wa Urusi aliyewahi kuonyeshwa kama shujaa wa vita anasema kukata tamaa na hofu ya kurudishwa Ukraine ilimsukuma kuwajeruhi watu wake na yeye mwenyewe ili kutoroka mstari wa mbele.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Tamu na chungu ya maridhiano Tanzania
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani?
Mambo 5 makubwa yaliyofichuliwa kutoka kwenye mamilioni ya faili za Epstein
Ufichuzi huo unakuja wiki sita baada ya Rais Donald Trump, kuamuru kwamba nyaraka zote zinazohusiana na Epstein zitolewe kwa umma.
Kwanini Israel imekaa kimya wakati Trump akitoa vitisho vipya dhidi ya Iran?
Huku uvumi wa kimataifa kuhusu ongezeko la uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika Mashariki ya Kati, viongozi wa Israel wameendelea kuonesha ukimya usio wa kawaida.
Sarafu 10 dhaifu zaidi duniani 2026
Dola ya Marekani ndiyo sarafu inayouzwa zaidi duniani hata kama, sio sarafu yenye nguvu zaidi duniani (haki hizo za thamani ya juu kwa sasa zinakwenda kwa sarafu ya Dinari ya Kuwait).
Nini kitatokea iwapo Marekani itaishambulia Iran?
Marekani inaonekana iko tayari kuishambulia Iran ndani ya siku chache. Ingawa malengo yanayowezekana yanaweza kutabirika kwa kiasi kikubwa, matokeo hayatabiriki.
Kwanini Marekani imebadili msimamo kuhusu mataifa yanayoongozwa kijeshi Afrika Magharibi?
Marekani inaashiria kwamba kurejesha demokrasia sio kipaumbele tena na iko tayari kufanya kazi na Burkina Faso, Mali na Niger.
Je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran?
Marekani, yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, tayari imeshawahi kuonyesha uwezo wake wa kuishambulia Iran. Mnamo Juni mwaka jana, ilitekeleza operesheni iliyopewa jina Operation Midnight Hammer, iliyolenga vituo vya nyuklia vya Iran.
Kwanini serikali ya DRC inaikataa ripoti ya Human Rights Watch (HRW)?
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa kisheria na kiusalama.
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Maeneo ambayo Marekani ilinunua katika historia yake ili kuunda nchi inayoonekana leo
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 9 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 6 Februari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 6 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 6 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































